Kwani Mjusi ndo wale wasiojulikana?
Si nabembelezwa nilale🥴hebu nambie mwenzetu unatoa wapi usingizi😅 mapema hii
Watu sahihi humu?😂😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️Mungu atukutanishe na cycle ya watu sahihi atuepushe na upuuzi🙏
0219
kwenye jamii kwa ujumla bwana😅😅Watu sahihi humu?😂😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
uhakika upo watu wa usiku wa manane hawana baya ndo maana unaona ni wachache mno,, kwan hauoni ninavyo jimwaya nikibaki pekeangu 🤗🤗🤭Una uhakika win? Sio mje kunianzishia nyuzi ohoo😃
aiiii hongera swee🥰Si nabembelezwa nilale🥴
Anhaa nilishtuka😂kwenye jamii kwa ujumla bwana😅😅
Na unajimwaya kama upo kitandani kwako😃uhakika upo watu wa usiku wa manane hawana baya ndo maana unaona ni wachache mno,, kwan hauoni ninavyo jimwaya nikibaki pekeangu 🤗🤗🤭
Hongera nini? Washa Tv hapo ingia Yt eka lullaby sikiliza mpaka usinzie😆aiiii hongera swee🥰
ndo hivyo mahiiii wangu🤗😘Na unajimwaya kama upo kitandani kwako😃
TV gani tena watu mna maisha mazuri na,hamsemi🤔😅😅😅😅Hongera nini? Washa Tv hapo ingia Yt eka lullaby sikiliza mpaka usinzie😆
Tv ya kwenye cm lols 😂 maisha mazuri yapi tena njoo hapa tukate mkaa😆TV gani tena watu mna maisha mazuri na,hamsemi🤔😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣 ilibaki kidogo hivi niombe connection ya kuwa secretary wako unabahati umejiwahiTv ya kwenye cm lols 😂 maisha mazuri yapi tena njoo hapa tukate mkaa😆
Secretary kwenye vumbi la mkaa😂😂 njoo😆🤣🤣🤣🤣 ilibaki kidogo hivi niombe connection ya kuwa secretary wako unabahati umejiwahi
ndo maan nasema umejiwahi😅😅😅 mi huko kwenye vumbi sipataki bora niendelee na kilimo cha umwagiliaji tu mahi wangu 💃🤗Secretary kwenye vumbi la mkaa😂😂 njoo😆