JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

We mkulima Lima fenesi lakini wanaume wa DSM wanataka uwakatie na uwamenyee then uwaekee kwenye kikopo ndo wale wapo lazi kutoa buku..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndugu kwani wanaume wa DSM wamekufanyaje mbona unawasakama sana? Hebu tuachie waume zetu. Pambana na hali yako ya kuwa wakoani
 
Back
Top Bottom