Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Hongera kwa kazi kiongozi![]()
tupo tunasongesha midudeeeer
hatuna habariiiiii
Hongera kwa kazi kiongozi![]()
tupo tunasongesha midudeeeer
hatuna habariiiiii
Hata tunapofungua mlango tunatumia ufunguoWakati wa mkoani wanatembea , si hapo tu
Aisee huyu mwanafunzi mbaguzi sana, mbona hilo neno "kipenzi" hujawahi kulitumia kwangu aisee[emoji24]Mwalimu wangu kipenzi katika masomo nifichie aibu [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kweli tena kila nikitoka humu nilikuwa na R.I.P ikifika mida hii nazinduka kuja kuona kama wamerudi [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mwanafunzi gani huyo muongo kiasi hichi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila siku tunakimbizana unakataa kufanya chemsha bongo eti unasema uli R.I.P[emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125]Mwanafunzi gani huyo muongo kiasi hichi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila siku tunakimbizana unakataa kufanya chemsha bongo eti unasema uli R.I.P[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Halafu mwanafunzi umsaidie mwl wako kutamka hilo jina la mwanzo la .......Nganengo[emoji47]Umeona eeh! Yaani angejua jinsi navyopataga shida kuliandika lake asingekosea jina lako [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani mbona siaminiki kiasi hiki? Hata wewe mwl.wangu mpendwa katika masomo huniamini?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umejibu kama mtakatifu flan, wewe ni wa kushindia maji kweli[emoji57]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Njoo nikupe asali ujitibie hicho kikohoo maana naona kinazidi kukua kila siku mwishowe utaanza kubanja sasa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha itabidi turudi kutumia jina letu la kitaaluma "Sir" maana huku tunakoelekea tutaishia kutukana.
Nipe kwanza heshima yangu, ndio niwe mwl.wakoHalafu mwanafunzi umsaidie mwl wako kutamka hilo jina la mwanzo la .......Nganengo[emoji47]
Usijali Mwanafunzi si unajua tena mimi huwa nachukua 20% tu, zingine zote zakoMwalimu wangu kipenzi katika masomo nifichie aibu [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ohoooh naona unataka kunibambikizia tuhuma, uchochezi sio mzuri ujue[emoji41] [emoji40]Umesahau kuwa wewe ndiye uliyeniambia hiyo habari? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bahati yako Inna yupo, ningekupa kubwa. Yaani wema wangu umegeuka ubaya machoni pako?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tokea lini umekua dokta, au unataka utumie ujuzi wa kuziba matundu ya vikombe kunitibu sioe[emoji57]
Sawa,ngoja tuchangie kodi tukalale,wenye nguvu mbali hewaniNdo hivyo
Punguza uchochezi aisee, ujue me nimezoea kuandika kifupi[emoji39]Umeona eeh! Yaani angejua jinsi navyopataga shida kuliandika lake asingekosea jina lako [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wewe umelala? DahHamlali duuuu
Utalisikia masikioni tu, ukiendelea kutumia stick kwenye ufundishajiAisee huyu mwanafunzi mbaguzi sana, mbona hilo neno "kipenzi" hujawahi kulitumia kwangu aisee[emoji24]
SawaKweli tena kila nikitoka humu nilikuwa na R.I.P ikifika mida hii nazinduka kuja kuona kama wamerudi [emoji4] [emoji4] [emoji4]