Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 700
NakujutaWatakoma
NakujutaWatakoma
Mie ninayo namba nikupatie mkuuNakujuta
Hahahaaaa tuwahurumie Ndugu zetu.Nakujuta
Hahahaaaa tuwahurumie Ndugu zetu.
Maana nasikia wanaongozwa na wavaa hirizi viunoni!!!!



Navuta pumzi mkuu nadhani leo kwa mara ya kwanza nitafunga geti!!Lindo linalindwa mdo mdo mkuu
Tabu tupu, hivi wanahitaji maombi au kutubu?Hahahaaaa tuwahurumie Ndugu zetu.
Maana nasikia wanaongozwa na wavaa hirizi viunoni!!!!

Njoo huku chumbani kwanzaJamaniii nisamehe bas nimekutania
Kutubu,Kwa Mungu yatupasa kuanguka na kukiri makosa yetu ndo maombi yanafuata.Tabu tupu, hivi wanahitaji maombi au kutubu?![]()
![]()
![]()
Ohooo!Njoo huku chumbani kwanza
Ooh OK hapo sawaKutubu,Kwa Mungu yatupasa kuanguka na kukiri makosa yetu ndo maombi yanafuata.
Ndo hivyoOoh OK hapo sawa
Nyie bandugu mlikuwa mmefichana wapi? Kwanini mlinitesa hivyo kwa kuwahamu? Hivi mnajua sikula kabisa krismas kwasababu ya kuwamiss?Si kwa kicheko hcho bibie. Miss u
Mic u more darln
Naona kuna watu waliitana chumbani ngoja wakitoka tutaendeleaAisee ndio mmelala tayari?
Nasikia walienda kishumundu kufungia ndoa hukoNaona mmerudi wote baada ya kutekana

Ushafungua au bado umefunga hilo geti?Kamanda longtime joh
Ngoja nifunge geti![]()
Nimekuhamu sana jamani.Hahahaaaaaa
Kusema kweli hili linaumiza kichwa, kwanini waliondoka siku moja na wamerudi siku moja halafu wanadai wamemisiana?Atukuzwe aliye juu Hallelujah, hatimaye paap wapotevu wamerudi![]()
![]()

Bila shaka hujanimiss mimi, eti eehMiss you
Hili la kufungua geti kabla ya muda ebu niangalie kwa jicho la nne kabisaAlafu nani kawapa ruhusa ya kufungua geti kabla ya mdaa