Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Shida ya huo mji ndiyo hiyo, pako vere. ila panga mkononi roho beganiHapa nilikua natembea sana usiku kwenye Club zao hizo ila sasa hivi ni hatari wahuni wanakutoa roho wanataka gari maana ulinzi hakuna kabisa mida hii wapo wao tu huko nje polisi wameenda kulala ambao walitakiwa wawe Lindo.