Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
01:00 I feel good usiku mnene Umesha wadia
yes dondosha nondo mkuu01:00 I feel good usiku mnene Umesha wadia
Family is important, but your happiness means more than anything.yes dondosha nondo mkuu
Sumu ye uta ki mleu😅Ende sumuuu
Yoyose ilya mana wamaSumu ye uta ki mleu😅
Nakata Episode ya 6 ya Dexter: ResurrectionWakuu nimelala tangu saa nne lakini kufikia sasa nimehisi nywele kusisimka sana nikashtuka ghafla sina usingizi tena nashindwa kuzima taa nahisi kuna mtu ananichora kimazingara. Naombeni mje hapa jukwaani tupige stori mpaka asubuhi coz kitanda kishakuwa cha moto hiki
Sawa vp mkuu ni nzrNakata Episode ya 6 ya Dexter: Resurrection
Karibu tusogeze lisaa jingine mble
Karibu mkuuHabarini wana jamiiforum.
Location: Middle of no where Uganda
Time: 01.17
Sawa vp mkuu ni nzr
Depression mbona bado hujaipata.. Ngoja na wa mwaka huu wa graduate (wapewe vyeti vyao). Usijali mungu ni mwema endelea kupambana atakushika mkonoDah wakuu napitia wakati mgumu kwenye maisha yangu nashindwa nielezeje, depression is real, nisaidieni nimemaliza chuo juzi tu apa natafuta kazi yoyte ya kujishkiza nipo dodoma 0610816834. Niokoeni kwa hili
haya njozi njemaMida ya kwenda kulaza busha sasa