Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Tupo liveTupo live
Kutoka Ug
Jamani 😂Mchuchu Joanah usi korome Sana ,,😊
Usi jali napenda mikoromo yako mchuchuJamani 😂
Umeshatoka msibani12:00 am
Location: Shekilango, Dar es Salaam
Hahaha kudadadeki, Ko uki chommoka nao wana taka kuchomoa roho na mali zako.Jana nililala mapema sana na hii winter la Johannesburg kali sana saa sita usiku usingizi hakuna kabisaa ningekua Arusha au Daslm ningeenda kutembea huko nje kwa mapopo wenzangu hapa ni hatari sana kutoa mguu huko nje ni zaidi ya Sudan kusini labda uwe jambazi mwenzao ndio Uta survive..
Hapa nilikua natembea sana usiku kwenye Club zao hizo ila sasa hivi ni hatari wahuni wanakutoa roho wanataka gari maana ulinzi hakuna kabisa mida hii wapo wao tu huko nje polisi wameenda kulala ambao walitakiwa wawe Lindo.Hahaha kudadadeki, Ko uki chommoka nao wana taka kuchomoa roho na mali zako.