naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 1,784
- 3,845
Ndio mkuu una nini?
Ndio mkuu una nini?
Swadakta mkuuKaunti ya migori hiyooooo!
Unang'aaNdio mkuu una nini?
Huu sio uzi tena hii ni supply chain kabisa
45 nipo hapa
Huu sio uzi tena hii ni supply chain kabisa
Mkeka, ukikosa tu usingizi unajimwaga hapa..Huu sio uzi tena hii ni supply chain kabisa
BTW hapa mnaongelea nini sasa,au ni kuota moto taratibu na kupeana vigano,tarihi na visa kale 😁
Nimeamka kunywa maziwa ndugu yenu, nalala sasa hivi
Ewaaaa hapa ni kuota moto na mambo mchanganyiko hadi upate usingiziBTW hapa mnaongelea nini sasa,au ni kuota moto taratibu na kupeana vigano,tarihi na visa kale 😁
Hii inayoishia na 34 ni lipa namba au02:21AM I was here 🙂
Comment No. 171,534
Fanya urudi mkuu,hata kwa weekend mojamoja02:19 nimemic maisha ya dar (night life)
Siku kama ya leo friday na suturday
Kunywa na maji lita moja, ukienda kulala unasikia tu yanacheza tumboni gufu gudu gudu unaamka tena unarudi hapaNimeamka kunywa maziwa ndugu yenu, nalala sasa hivi
Ngoja kwanza niende kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara kwanza, nione kama kuna raia😁Ewaaaa hapa ni kuota moto na mambo mchanganyiko hadi upate usingizi
3 ni mihimili ya serikali, 4 ni miaka atakayotawala chura, imemtosha!Hii inayoishia na 34 ni lipa namba au
Mi nmechoka kwakweli nahitaji kwenda mahali patulivu kama siku tatu hivi sitaki milio ya magari wala kelele ni miti na ndege tu02:19 nimemic maisha ya dar (night life)
Siku kama ya leo friday na suturday
Una hatari sana mkuu,enhe kwanza tusimulie kwanini bado hujalala?Kunywa na maji lita moja, ukienda kulala unasikia tu yanacheza tumboni gufu gudu gudu unaamka tena unarudi hapa