👁️👁️ 01:17 amAnyone 👀
Unakeshea wapi jirani👁️👁️ 01:17 am
Nakesha home hapa jiraniUnakeshea wapi jirani
Pole.. leo kichwa chamoto had piriton zimedunda 😆Nakesha home hapa jirani
Halafu weekend bado hiki ndo kinachoniuma 😁Pole.. leo kichwa chamoto had piriton zimedunda 😆
Ni kua mpole tu 😂Halafu weekend bado hiki ndo kinachoniuma 😁
Migori ya Kenya au ile ya iringa karibu na bwawa la mtera mkuu.01:20 30/05 Migori
00:20 30/05 Monaco
15:20 29/05 California
07:20 30/05 Seoul
Listening 🙂
Fally Ipupa ~ Mayday
Kenya karibu na Mara, kandokando ya vijito vya mto Mara, kwenye mwambao wa ziwa Victoria, kilomita 300 kutoka jijini Mwanza 🙂Migori ya Kenya au ile ya iringa karibu na bwawa la mtera mkuu.
Kaunti ya migori hiyooooo!Kenya karibu na Mara, kandokando ya vijito vya mto Mara, kwenye mwambao wa ziwa Victoria, kilomita 300 kutoka jijini Mwanza 🙂
Ndio mkuu una nini?
Swadakta mkuuKaunti ya migori hiyooooo!
Unang'aaNdio mkuu una nini?