Aisee, hongera sana.Mi binafsi Sina la kuhofia..nikiamua nalala nikiamua naamkaMatajiri huwa hatulali 😂😂 tunakesha tunalinda mali zetu bro
Aisee, hongera sana.Mi binafsi Sina la kuhofia..nikiamua nalala nikiamua naamkaMatajiri huwa hatulali 😂😂 tunakesha tunalinda mali zetu bro
Kwani nyie hamna InstagramPeleka ushuhuda urudi huku utatukuta.....
Unapata wapi nguvu za kulala 😁 tafuta hela mkuuAisee, hongera sana.Mi binafsi Sina la kuhofia..nikiamua nalala nikiamua naamka
Kitu linatafuna bando, mie hapana insta na tik tok vimenishindaKwani nyie hamna Instagram
Nasubiri kukuche,hii ya kuteseka night nimeshindwa mkuuUnapata wapi nguvu za kulala 😁 tafuta hela mkuu
Unateseka na nini?Nasubiri kukuche,hii ya kuteseka night nimeshindwa mkuu
Jambo Akthoo team member02:28 Hrs EAT
Jambo Jamii team
Kuna Id za kike zinapandisha nyege hatari, anyway kwa walioko kanda ya ziwa mvua za maana zimepiga hasa mashariki.
Kitu linatafuna bando, mie hapana insta na tik tok vimenishinda
Jf na whatsapp tu siku mbili sitoboi 1gb hapo ni cha wiki nmejiunga, nikiingia insta tu ni hapo hapo shwaaaaa
Kenge wa nje??? 😂😂😂😂02:30 3+ GMT Nairobi
Kuchoma mahindi usiku,mi ikifika saa 2 nalala sitaki tabu kabisaUnateseka na nini?
Nunua router huwezi kosa 110k/= kwa mweziJf na whatsapp tu siku mbili sitoboi 1gb hapo ni cha wiki nmejiunga, nikiingia insta tu ni hapo hapo shwaaaaa
Ya mtandao gani sio net uhakikaNunua router huwezi kosa 110k/= kwa mwezi
Vodacom au AirtelYa mtandao gani sio net uhakika
Sawa ila nasisitiza Nikifa MkeWangu Asiolewe
Ndio kwangu huko sema huwa nikirudi nakaa hazizidi wiki mbili na sepa hata zaidi ya miezi 3Fanya urudi mkuu,hata kwa weekend mojamoja