Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,963
- 25,552
2340
01'31 I mean no malice to nobodyIntelligent businessman ..mzee wa no malice to any body kama kawaida yako mishale ya wanga
Lindo linafunguliwaga kuànziaa saa 00:00Tisa na dakika kadhaa usiku mnene,nitakuja kukagua lindo
See you mida ya wanga....
Ahsante Etugrul Bey.The Legacy na Akthoo mnakaribishwa mtaa wa usiku wa manane,huku hatekwi mtu hata wasio julikana hawatii pua huku kama kwa mdude,hapa tupo full equiped
Usisahauu kupiga goti kwa alie juu kablaa ya kulalaAhsante Etugrul Bey.
Saa 8:41 usiku wa manane!
Usiku mwema
Nipo Doria 😁Afande fetty wa mikoroshini Evelyn Salt uko wapi....
Good👍Nipo mwaaalim