Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,659
- 37,826
NIMEKUJA kwa GFriend wangu hukuu kmr Leo nalala basi chumba chake na JIRAN juu hawajapiga cylingbord
Dk Tano zilizopita nasikia mtoto anaita baba Fidel baba Fidel mwachee mama ACHA ukorofii
Nimeangua kicheko wakatulia chap
nawaza kuamka saa kuminamoja niende kwangu..
.
Bmdogo ndio anaongexa kicheko kwamba mda wao WA kuhondomola
Da single room na watoto zina shida sana Mungu tusaidie
NKAMWAMBIA mwezi ujao inabidi tuongee na mwenye nyumba kumbe HATA zile kelele zako tukimichana
wanatucheka kimya kimya..
kama tumesikia kwao kwetu n ....
Nawaza ukorofi gani huo mda huuu