Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,652
- 10,741
Hoja yako imepokelewa kwa mikono miwili 💯🤝🤝🤝Mwenyekiti Rayns kwa ruhusa yako,naomba niwasilishe hoja binafsi
Naomba serikali iimarishe muonekano wa treni ya abiria ya wakazi wa dar,ile treni ni ya mjini lkn muonekano wake hauridhishi kabisa
Kuna haja ya mamlaka husika kulifanyia kazi swala hili walau ikarabatiwe ili iendane na hadhi ya mjini
Naamini kabisa ikikarabatiwa itaongeza mvuto kwa abiria wengi watapenda kutumia usafiri huo
Nawasilisha hoja
Mlizi wa zamu!
Punde utapikea ujumbe wa majibu ya hoja yako 😅💯