Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,025
Ngoja niichape sasa, muda wa kwenda kufungua kibanda umekaribia.
God blessed 🙏 🙏 🙏Morning glory📢
umempeleka wapi Hope urassa jamaniWaaleykum Salaam. Wahi silaha amara
Am hereumempeleka wapi Hope urassa jamani
Bado mdaa w lindo kufunguliwa22:19 speed 120 kwenye kona shaaaa!!!!
💯Mazungumzo ya Usiku
FURAHA INATOKANA NA KUTATUA MATATIZO
Ukitatua tatizo moja linakuja tatizo lingine,mfano ukinunua vifaa vya kufanyia mazoezi,basi utaanzisha tatizo lingine la kuamka mapema na kufanya mazoezi,baada ya kufanya mazoezi utakuwa na jasho na huwezi kwenda kwenye shughuli zako namna hiyo,hivyo itabidi utatue tatizo la kunuka jasho kwa kuoga,umeona ni muendelezo wa kutatua matatizo
Mfano wa pili,ukitaka kumfurahisha mke wako kwa kumtoa out labda kila jumamosi,basi utatengeneza tatizo la kutafuta pesa ili ikuwezeshe kumtoa out huyo mpendwa wako,na hata baada ya kufanya hivyo,baada ya mda hiyo sehumu itawaboa utatengeneza tatizo lingine la kutafuta sehemu mpya ili mpate uzoefu mpya,nadhan umeelewa kuwa matatizo hayaishi
Kitu cha muhimu ambacho msomaji wangu unatakiwa ujue ni kwamba huwezi ishi bila matatizo,kibaya ni kutaka usipate matatizo kabisa hilo haliwezekani
Kikubwa ni kuyafurahia matatizo ambayo utakuwa comfortable kuishi nayo na kufurahia kuyatatua,hapo utakuwa umepata furaha ya kweli
Ili tuwe na furaha basi inatakiwa tutatue matatizo,na furaha sio kitu ambacho kipo siku zote kwa maana kama jiwe au sanamu,yani kama lipo basi lipo tu,haipo hivyo furaha ni hali ambayo inatafutwa kwa kutatua matatizo au changamoto mbali mbali
Na wakati mwingine furaha unayopata leo kwa kutatua changamoto fulani ndio itakuwa msingi wa kuzalisha tatizo lingine kesho,mfano umekuwa umekuwa na changamoto ya usafir so ukaamua kununua ndinga yako ikutoe point A na kwenda point B, baada ya kununua gar yako ukapata furaha,lkn kesho yake upo zako town unacruize mara pap umepata ajili,tayar hapo umetengeneza tatizo lingine ambalo hukulitegemea,kwahiyo furaha yako ya kumiliki gari imegeuka na kuwa tatizo lingine
Mlinzi wa zamu!
Anyway 2247Kipindi cha vocha watu walikuwa makini sana kuwahi hapa 🙌