win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,144
- 31,177
Hope urassa hivi upo?
Sawa mimi leo nasikiliza redio nasubiri kipindi cha mkesha wa wahenga cha mbazigwa hassan wa tbctaifaNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
jogging ya kitandani?Amkeni jamani,mbona kimya! mi leo nafanya joging chumbani mpaka asubuhi....
03:25 lindo lipo shwarii0312
God blessed 🙏 🙏 🙏Morning glory📢
umempeleka wapi Hope urassa jamaniWaaleykum Salaam. Wahi silaha amara