mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,993
- 2,938
01:37 lindo lipo shwarii01;20
01:37 lindo lipo shwarii01;20
Madrid yake ni mbayaHalaaa Madrid
Hahahaha pole yaoMadrid yake ni mbaya
Aah nyie mnazingua wakuuUpo lindo😂
Good2323
Hahaa 😅😅 calm down mkuu, hawa viumbe tunawa-treat psychologicaly...Umeniita siku ya msingi sana. Hii ng'ombe imeondoka tu bila kuaga eti "kesho ukiondoka kwenda kazini niachie funguo" hahaha wallah ataikuta mizigo kwa mama ake.
Karibu Lindoni leo🤝Naam
Naam.
Safi mkuu mmetelekeza uzi...Mambo vipi mkuu
Lazima ulipieJana sikua online ila nimekesha kidogo
Kuna mda tunakesha ila tunasahau ku sign in and out kwa hii thredAah nyie mnazingua wakuu
Punguzeni stress mkuu 💯Kuna mda tunakesha ila tunasahau ku sign in and out kwa hii thred
Sawa mkuu.Punguzeni stress mkuu 💯
Tupo mkuuSafi mkuu mmetelekeza uzi...
Mawazo yako hayakupishana na mimi,mwanzo niliwaza nimpe bakora za maanaNaongea na mama yake aongee nae, au naongea nae mwenyewe kumwelekeza kuwa uncle unachofanya is not good.
Kazi ya ulinzi unaiweza,lindo lipo na mtu sahihi01:37 lindo lipo shwarii