Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,652
- 10,741
Unaweza kumchapa lakini ndio ukamjengea chuki ambayo itamfanya kwa hasira avute zaidi sigara hadi bangi.Mawazo yako hayakupishana na mimi,mwanzo niliwaza nimpe bakora za maana
Lkn baadae nikaona nimuelimishe,nikafungua google nikamwonyesha picha ya madhara ya sigara,ilionekana ilimwingia akilini
Nikamwambia sasa kazi kwako waeza vuta nisikugundue lkn ujue mwisho wa siku unajitafutia matatizo haya na haya
Lakini ukimweleza madhara yake anaweza kuelewa 💯
Lakini daah miaka 12 kwani ni aina gani ya maisha anayoishi hadi kafanya vile