Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,984
- 25,624
Pole sana expert wanguNimepoteza riziki mkuu
Pole sana expert wanguNimepoteza riziki mkuu
Ni kweli kabisa yanUsisahau kama hapa ni nyumbani 💯
Asante sana mkuuPole sana expert wangu
pole sana man imekuaje manNimepoteza riziki mkuu
Acha tu mkali, nimepoteza hela, sema basi limepita nalo tugange yajayopole sana man imekuaje man
kisicho riziki mkuu hilo huenda halikuwa fungu lako kesho nayo siku mola atajaalia utapata, huenda kikaja mara mbili ya ulichopotezaAcha tu mkali, nimepoteza hela, sema basi limepita nalo tugange yajayo
Upo lindo😂
Umeniita siku ya msingi sana. Hii ng'ombe imeondoka tu bila kuaga eti "kesho ukiondoka kwenda kazini niachie funguo" hahaha wallah ataikuta mizigo kwa mama ake.
Huuzi dawa za maumivu ya moyo00:16
Nilikuwa hapa
Nauza akili jumla na reja reja
00:18 I was hereHuuzi dawa za maumivu ya moyo
00:1900:18 I was here
Moyo wa mtu kichaka mi sina dawa ya vichaka
00:20 I was typing0019
Sawa, acha niendelee kupambana