Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
[emoji120] [emoji120]unakarbishwa
[emoji120] [emoji120]unakarbishwa
Hahaha sawa komrediDaaah mie soka lilipitaga kushoto zamani sanaaa mazee
Asantee mkuuKaribu sana
hiyo avatar ya uyo toto umeipata wapi mbona kama mwanangu?[emoji120] [emoji120]
Naam!! Mpo salama salmin shaka ,hofu &wasiwasi ondoeni kabisatupo na dingi hakuna shida
[emoji106] [emoji106]tupo na dingi hakuna shida
Najiandaa kutoka sasa naelekea nifaland apa kagera kumekuchaKabisaaa
Eh hapana sihitaji hiyoo[emoji1] [emoji1]Karibuu mkuu karibu get pass umechukua getin au
Yanungunungu mkuu[emoji15] [emoji15]Karibu joh, usipite hebu keti kidogo uonjeshwe supu ya nungunungu uone utamu wake
[emoji120] [emoji120] [emoji106]Karibuu sanaaa
Uzur wa jukwaa hili ni la muda maalum late hrs na wenyeji hutoroka kabla ya roll call haijapitaNaam!! Mpo salama salmin shaka ,hofu &wasiwasi ondoeni kabisa
Tuko pamoja hapa mpaka kuchweeSiwezi kuwaangusha nipeni lindo 2
Nilimwokota sokoni, kipindi cha vita ya majimaji, saivi ana vilembwekeze 2000[emoji12]hiyo avatar ya uyo toto umeipata wapi mbona kama mwanangu?
Tuko pamoja[emoji120] [emoji120] [emoji106]
Ndio mkuu, hiyo ndio supu yetu pendwa ili kupambana na baridi Kali bila kusahau maini ya mamba.Yanungunungu mkuu[emoji15] [emoji15]
Kazidiwa majukumu ya Jana ....alafu aliitwa na ivuga[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo Inna kajisahau wanaingia free
namtaka mwananguNilimwokota sokoni, kipindi cha vita ya majimaji, saivi ana vilembwekeze 2000[emoji12]
[emoji120] [emoji120]Siwezi kuwaangusha nipeni lindo 2
Ohh ok shukrani.Ndio mkuu, hiyo ndio supu yetu pendwa ili kupambana na baridi Kali bila kusahau maini ya mamba.