Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,705
- 4,701
Walipata lapiliMatokeo ni yale yale au (3-1)
Walipata lapiliMatokeo ni yale yale au (3-1)
5G[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe kuna Bundi, mchana wako active namna hii[emoji125]
Jana mpaka Leo [emoji35][emoji102] [emoji102] [emoji102]01:00am
29.12.2017
Friday
[emoji3] [emoji3] hapana,. Naamin yupo mikono salamaNilimwona alivyokua anamendea ile zawadi uliyomnunulia Inna, hujausika kumteka kweli komredi[emoji3]
Karibu mkuu, natumaini leo geti halitoachwa waziOooooh beautiful day ndo imeanzaaaaa......
Heshima kwenu nyoteeeeeee
Bila shaka utayafunga yote yatakayosahaulikaKaribu mkuu, natumaini leo geti halitoachwa wazi
Na kweli, itabidi nikutafute unipe mbinu unayotumia manake mchana huwa sioni kabisa[emoji6]
Hehehe kumekua mchana sasa, ila sio mbaya tunakaribia kufika mchanaHabarin za mchana
[emoji3] [emoji3][emoji3] [emoji3] hapana,. Naamin yupo mikono salama
Hata siwez thubutu kufanya hilo
haa dingi ndani ya jengoHehehe kumekua mchana sasa, ila sio mbaya tunakaribia kufika mchana
unakarbishwaNa kweli, itabidi nikutafute unipe mbinu unayotumia manake mchana huwa sioni kabisa[emoji6]
Karibu sanaHebu na Mimi Leo nipite humu kabla mwaka kwishaaa
Hiyo shaka haitakuwepo kama ukinipa kampani[emoji85]Bila shaka utayafunga yote yatakayosahaulika
Dingi alali mpaka ahakikishe watoto [emoji127]wake wamelala!!haa dingi ndani ya jengo
hujalala?
Karibuu mkuu karibu get pass umechukua getin auHebu na Mimi Leo nipite humu kabla mwaka kwishaaa
Karibu joh, usipite hebu keti kidogo uonjeshwe supu ya nungunungu uone utamu wakeHebu na Mimi Leo nipite humu kabla mwaka kwishaaa
tupo na dingi hakuna shidaHiyo shaka haitakuwepo kama ukinipa kampani[emoji85]
Ewaah nakuamini sana komrediGeti lazima liwe salama salmini ikiwa ni ijumaa ya mwisho ya mwaka ulinzi ni muhimu sanaaaa