Sheilerz
Member
- Dec 21, 2017
- 69
- 87
Mimi popo sio kukuSijaona kamba mguuni
Mimi popo sio kukuSijaona kamba mguuni
SawaMimi popo sio kuku
Salama kabisa mkuuSalama humu watu wa Mungu
Utaratibu ni bando lako na kimeo chakoNaruhusiwa kuingia humu?? au kuna utaratibu
Nipo full...ila sijui kitu... Nimevamia tuUtaratibu ni bando lako na kimeo chako
Wewe huyo Inna!Uyo nkabidhini mimi najua cha kumfanya
Mambo niaje captain!!Salama kabisa mkuu
Naja kukagua lindo mkuu usije telekeza vitendea kaziKwa masaa ya hapa nilipo hivi sasa n saa hakuna na dakika kulala.yaani hakuna kulalaaaaaaaaa
Kwema kabisa mkuuMambo niaje captain!!
Hilo neno mkuu limetawala humu kama sala vile ya kila sikuKwema kabisa mkuu
Huu ni uwanja/kijiwe cha watu ambao hawalali, ni kupiga story hadi majogooNipo full...ila sijui kitu... Nimevamia tu
Kila jambo jema ni Ibada.Hilo neno mkuu limetawala humu kama sala vile ya kila siku
Kila jambo jema ni Ibada.
