Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Asante sana.Nimefurahi, naamini huu mwaka hautamalizika kabla haujaimarika zaidi na zaidi, ila jitahidi usiache gafla inaweza kukuumiza, lakini weka nia na jitihada, lakini ukimtanguliza Mungu.
Hilo liko ndani ya uwezo wangu.
Nina imani nitafika lengo langu