Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,971
- 38,225
Mhh! Yaani mi niwe na mtu halafu niwe bize na vingine, labda kwa vile kuna kuchokanaWapo wanaofanya hivi na bado wakikutwa wanashangaa wenyewe!!
Hii inawezekan kabisa, na inafanya kazi vizuri tu.