Kabisa yaaniKila mtu na chagua lake.
Kabisa mpwaKabisa yaani
Bado kidogo nikuambie ulale nika kumbuka na mimi nipo machoKabisa mpwa
😂😂😂Bado kidogo nikuambie ulale nika kumbuka na mimi nipo macho
Duuh, kama huku!😂😂😂
Yaani hapa sina usingizi, radi zapiga nje mpaka naogopa
Asa babe kalala, mie niko macho naogopa.Duuh, kama huku!
Kweli Tma walikua sahihi utabiri wao.
Ila radi sio za kuogopa bwana
Basi omba ipige radi moja matata sana ataamka mwenyweAsa babe kalala, mie niko macho naogopa.
Najaribu kumkumbatia anasema nifumbe macho 😓
He!!!Basi omba ipige radi moja matata sana ataamka mwenyweView attachment 3265231umenikumbusha nikiwa mdogo nilikua nalala uvunguni kukwepa mwanga wa radi
Na mwanga wa radi kijijini huko ulivyo kuwa unawaka uvunguni nako kulikua hakukaliki!He!!!
Makubwa!
Uvunguni tena 😂😂😂
Hatari basi!!!
Usiogope love ntakulinda ❤️😂😂😂
Yaani hapa sina usingizi, radi zapiga nje mpaka naogopa
😅 Nipo kipenzi acha woga wa kitotoAsa babe kalala, mie niko macho naogopa.
Najaribu kumkumbatia anasema nifumbe macho 😓
Usiogope love ntakulinda ❤️
Sawa.😅 Nipo kipenzi acha woga wa kitoto
Radi hazizoeleki mwaya.Na mwanga wa radi kijijini huko ulivyo kuwa unawaka uvunguni nako kulikua hakukaliki!
Ila radi zilinitesa sana utoto, sikujua kama ningekuja kuzizoea hivi🤣
We mtoto acha woga!Radi hazizoeleki mwaya.
Mie na utu uzima huu tu ikipiga moja lazima nikimbilie ndani.
Radi si nzuri
Haina sababu ya kuziogopa , madhara yake ni machache mno, tokea hio 96 naogopa radi hadi leo 25 sijawahikukutana na madhara yake ila kusikia tu.Radi hazizoeleki mwaya.
Mie na utu uzima huu tu ikipiga moja lazima nikimbilie ndani.
Radi si nzuri
Ohhhh, basi sawa.Haina sababu ya kuziogopa , madhara yake ni machache mno, tokea hio 96 naogopa radi hadi leo 25 sijawahikukutana na madhara yake ila kusikia tu.
Sure usiziogope.
Mimi naingojea alfajiri tu sasa, na mswaki nishapiga kabisa.Ohhhh, basi sawa.
Ngoja nikabiliane nazo tu.
Hv huna usingizi kweli?
Tisa na robo usiku hii..
Aisee.....😧😧Mimi naingojea alfajiri tu sasa, na mswaki nishapiga kabisa.
Kama wewe upo kwenye bed weka sim pembeni ulale aisee 🤣
Daah!Aisee.....😧😧
Mie niko kitandani ila sina hata lepe la usingizi.
Dah!