Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Siku imepita lkn zawadi bado zinapokelewaSio kwamba imesha pita. Jiandae kupokea ya mwaka mpya
Siku imepita lkn zawadi bado zinapokelewaSio kwamba imesha pita. Jiandae kupokea ya mwaka mpya
Kumbe basi usijisikie vibaya huenda kesho ukakutana na mafuriko ya zawadi. Ya kwangu utapata mwaka mpyaSiku imepita lkn zawadi bado zinapokelewa
Kumbe basi usijisikie vibaya huenda kesho ukakutana na mafuriko ya zawadi. Ya kwangu utapata mwaka mpya
naisubiria![]()
![]()
naisubiria

Hakuna dada wa kazi/ msaidizi wa nyumbanikumbe usiku unakuwaga mrefu hivi mke akisafiri eeh.... .
hamna kiongozi....kuna kajirani ila naogopa kitakuja kujisifu kwa wife...yaaam dah.Hakuna dada wa kazi/ msaidizi wa nyumbani
Vumilia tu kiongozi. Amenda kuhesabiwa nini?hamna kiongozi....kuna kajirani ila naogopa kitakuja kujisifu kwa wife...yaaam dah.
Karibu kiongoziAmkeeeeniiii kumekuchaaaaaaaa
Vinaitwa vya kupashwaAmkeni kula viporoooo
Poa! Mzima?Thad mambo vip?
Aisee namshukuru Mungu ilikua poa sanaSikukuu iliendaje Inna?
Haha poleehamna kiongozi....kuna kajirani ila naogopa kitakuja kujisifu kwa wife...yaaam dah.
Mi mzima. Vip wewe?Poa! Mzima?
Piga tyu.kavalie miwani ya mbao.hamna kiongozi....kuna kajirani ila naogopa kitakuja kujisifu kwa wife...yaaam dah.