Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asante ...karibuMarry xmass kwenu nyote marafikiiiii
Asante ...karibuMarry xmass kwenu nyote marafikiiiii
Maisha.Uache kupotea
Msema kweli mpenzi wa Mungu.Merry Christmas
"Mkiniamini mimi mtaijua Kweli nayo Kweli Itawaweka Huru."
Duuh ata kama maisha sio hvyooMaisha.
Kumekucha sasa, watoto wakalale
Na kwako pia Bundi mtiifu. Hivi ni wapi umenionea Bundi Thad?Marry xmass kwenu nyote marafikiiiii
Merry christmass na kwako pia kipenz,Marry xmass kwenu nyote marafikiiiii
Huyu asiende kulala tafadhali, nataka nimwekee ile sinema ya kuzaliwa Emanuel, hata akilala kwa sofa sio mbaya.
Labda waamshwe wakojoee alafu walale tenaKumekucha sasa, watoto wakalale
Komredi naona Leo umekua kifimbo cheza.Merry christmass na kwako pia kipenz,
Ila sio xmass upo..!!
Hahahaha!! Namuweka sawa mpendwa wangu tu kamandaKomredi naona Leo umekua kifimbo cheza.
Mkuu The last man standing naona siku hizi umekua the first man sleepingMaserati, njoo pande hii!

Yah n kweliMerry christmass na kwako pia kipenz,
Ila sio xmass upo..!!
Nimekuelewa vyema komredi.Hahahaha!! Namuweka sawa mpendwa wangu tu kamanda
Pamoja, kamandaNimekuelewa vyema komredi.
Mkuu The last man standing naona siku hizi umekua the first man sleeping![]()
Meku vp huko migomban kwema unatuwakilisha vemaKumekucha sasa, watoto wakalale