Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,569
- 95,199
Nasemaje nikimuita hapa atawakera yule ananisikiliza mimi tyuuu!! π€£π€£π€£π€£Coca naona zinaiva na wizo..
Na zinaiva kwa vile tuu anaona yule mtu ili uwe nae sawa wee obey tu ,ππππππππππππ
Alikuja hapa mara moja akachagua hali ya hewa akaondoka ,ππππππππππππππ
Wanasema wizo ana mdomo mchafu sio wa kumwendea kichwa kichwa πππ
BICHWA KOMWE - wizo njoo uwape hi kuna watu wanakuulizia huku