JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hello 👋🤩 Tajiri uko fresh tajiri yangu Fake P
Machozi yananitoka nikiitwa tajiri halafu kubwa la matajiri letu yupo kwenye block
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
umefka mpka kwa mke ya kantri[emoji23][emoji23] naomb usimuite huyo ni dada angu akiyajua madhambi yangu ya huku nimekwishaaa,, nitafukuzwa nyumbani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣 Kumbe unajiachia huku?? Kuwa makini sio waoaji hao… nyumbani nitakufukuza kweli sipendi utoke na vibaka
 
Mukubwa huyo ni tajiri anamiliki mabasi 7 ya mkoani dar to Arusha mengine dar to Tanga
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Weeeeeh hilo ndo najua sasa aiseeeee..
Kumbe tupo na watu hatari humu..

Ngoja kesho nikaonane nae.
Fake P kesho itabidi nije tuu hata kama ni siku ya mapumziko ila tavaa yale mabuti tajiri 🙏🙏🙏🙏😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo fake wat wat ndo wanamuita tajiri humu....

Jaman vijana humu ndani hovyo sana ujue eeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ni tajir kwelii huwa anamkopesh shadow wangu pesa ya kulipia kodi kama akiishiwa.. ndio maan huwez kuona shadow akimpinga kwa lolote[emoji23][emoji23][emoji23] mpka mahusiaon yangu kayaweka kiganjani sina amani kabisaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Weeeeeh hilo ndo najua sasa aiseeeee..
Kumbe tupo na watu hatari humu..

Ngoja kesho nikaonane nae.
Fake P kesho itabidi nije tuu hata kama ni siku ya mapumziko ila tavaa yale mabuti tajiri 🙏🙏🙏🙏😂😂😂😂
Humu watu na pesa zetu Mkuu ndio maana tupo humu atukosi bando Mkuu 😂😁 matajiri hatukosagi bando
 
Back
Top Bottom