Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,819
- 113,384
nendeni nae nayeye aneemeke.Sio mtego lakini...
Ngoja aje mshauri wangu coca ,๐๐๐๐
nendeni nae nayeye aneemeke.Sio mtego lakini...
Ngoja aje mshauri wangu coca ,๐๐๐๐
Usingizi umekata mdogo angu nimepigiwa simu na wambea shemeji yako kaonekana na mwanamke bar wakati kaniaga kasafiri kikazi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃuwiii dada[emoji2960] si tumekubalian unaend kulala umechoshwa na lejesho lakin...
๐๐คฃ๐๐๐ JamaniHatukusamehi daima![]()
![]()
![]()
![]()
Polee sana dada yanguUsingizi umekata mdogo angu nimepigiwa simu na wambea shemeji yako kaonekana na mwanamke bar wakati kaniaga kasafiri kikazi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mxiiiiiiiie nasubiria mama jeni yako mahini tajir kwelii huwa anamkopesh shadow wangu pesa ya kulipia kodi kama akiishiwa.. ndio maan huwez kuona shadow akimpinga kwa lolote[emoji23][emoji23][emoji23] mpka mahusiaon yangu kayaweka kiganjani sina amani kabisaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nkamu pacha wangu anasimangwa live live bila chenga ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃYaan umewafuma vizuri kweli....๐คฃ๐คฃ๐คฃmi naangalia tu
Coca naona zinaiva na wizo..Wizo nikimuita hapa atawakera, nilimuita selfika akaanza kudangia mabwana wa watu live live mpk wa coca ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐คฃ๐๐๐Nkamu pacha wangu anasimangwa live live bila chenga ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mkanye huyo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena muite na wizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ naogopa kuvuka majiNjoo kigamboni nikupe
Mbona ni mpole sana yuleeeCoca naona zinaiva na wizo..
Na zinaiva kwa vile tuu anaona yule mtu ili uwe nae sawa wee obey tu ,๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Alikuja hapa mara moja akachagua hali ya hewa akaondoka ,๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Wanasema wizo ana mdomo mchafu sio wa kumwendea kichwa kichwa ๐๐๐
Alafu mnasema nadanganya Poor Brain . We Fake P njoo hapa ujue ulivyo na mifweza.ni tajir kwelii huwa anamkopesh shadow wangu pesa ya kulipia kodi kama akiishiwa.. ndio maan huwez kuona shadow akimpinga kwa lolote[emoji23][emoji23][emoji23] mpka mahusiaon yangu kayaweka kiganjani sina amani kabisaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nimepata wasiwasi, unadalili za kutaka kunikaba weweFake P salout kwako mkuu
๐๐๐๐๐๐
Mwanzo nilikua nakuchukulia poa poa sana ila sasa sina budi kusema tajiri uishi miaka buku ..
Kesho mapema takua hapo ilazo mkuu by any means an ๐๐๐๐๐๐
Utapanda kivuko au utapita darajani ๐คฃ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ naogopa kuvuka maji
Kwanini?๐๐๐usijichanganye ukaolewa au kuoa mtu wa afya hasa nurse na doctor.
So wewe kuni chongea kwa wizo uliona poa...yani wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoj nimalizane na dada kwanza alf nitakurudia... hiv unawezaje kunichonganisha na anae nipa ugali[emoji35],,, muone kwanz[emoji1787][emoji1787]
Nyie watu mbona mmekamia buti zangu ๐๐๐๐๐๐๐๐๐usisahau na zile buti alizo kwambia labda anataka akubadilishie hizo zimechoka[emoji23][emoji23][emoji23] hu know[emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeona win anajiachia kweli!! Halafu nimeona mnamsema pacha wangu mabakuli na crew yako [emoji23][emoji23][emoji23]