Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Miyeyusho ulinde bwege wee😀Nipo hapo nipo nipo hapa miyeyusho
Miyeyusho ulinde bwege wee😀Nipo hapo nipo nipo hapa miyeyusho
Ukikosa kabisa hapo itabidi tuone inakuaje Jukwaa la Ajira na TendaHuko bila 5 million siwezi gusa😀
Niki kwambia shule sija wahi enda uta amini??Ukikosa kabisa hapo itabidi tuone inakuaje Jukwaa la Ajira na Tenda
Mpaka kunakucha nipo hapa huku mbu wengi wamehamia mtaa wa pili kwa hio ni kaupepo tu hapaMiyeyusho ulinde bwege wee😀
Ulipoteza vyeti?Niki kwambia shule sija wahi enda uta amini??
Jeiefuu nasikia wote wana PhD kwako imekuaje tena?Niki kwambia shule sija wahi enda uta amini??
Yes, najua ndugu yangu mapambanoo lazima yaendelee 😊Kaka angu Dr am 4 real PhD una endeleaje??.
👉Ubize kidogo, ndo Mana hatu onani
0032HrsNi kweli mkuu kwenye Lindo hujawahi pelea
Hawa wanaitaji kikao cha dharura
Cc Kichwa Kichafu
Halafu hata Kichwa Kichafu sio Mlinzi ni mviziaji was lindo tu[emoji23].
Depal siku hizi ana sinzia kama paka wangu[emoji3]
Yes, najua ndugu yangu mapambanoo lazima yaendelee [emoji4]
Brother Ako nimechoka kua kitandani 24/7
Mguu wa kulia ulikua umeshituka now upo fit kabisa..
Mguu wangu wa kushoto ulio vunjika napambana nao madaktari walinambia niulee kama yai kwenye hizi week za mwanzoni so nakua kitandani muda woteeeee
Siwezi ku move popote hata kujisogeza inabidi ubebwa mguu uamishwe sikuwai jua kama one day ntakuja kupata ajari itakayo niweka hivi kitandani..
All in all,
Hiki kipindi nimetafakali sana maisha na kuanza kuya angalia in different angles
MUNGU akubariki umekua faraja na mtu wa kunijulia Khali several times Stay blessed brother
Hope sio vitani🤒.01:40 somewhere
Sasa angalia usi katwe mshahara😀😂Mbinu Muhimu Mkuu[emoji23][emoji23]
Pamoja Kaka, zingatia Maelekezo.Yes, najua ndugu yangu mapambanoo lazima yaendelee 😊