Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Kuna mwamba alikuja na external yake ina japan anime 3000😃Vipi Kaka uli fanikisha kujaza series??
Kuna mwamba alikuja na external yake ina japan anime 3000😃Vipi Kaka uli fanikisha kujaza series??
Alaaniwe😀🤣, dah hapa the mighty nime shituka🙄.Kuna mwamba alikuja na external yake ina japan anime 3000😃
Jamaa anaangalia Japan animeAlaaniwe😀🤣, dah hapa the mighty nime shituka🙄.
Wachina kwangu ni favorite Sana, kwa movie za porini na mjini.Jamaa anaangalia Japan anime
Yan kama wewe na wachina kaka🤣
Utafika mbali kaka😃Wachina kwangu ni favorite Sana, kwa movie za porini na mjini.
Kuna namna naona nita fika mbali 🤣😀
Kwa series za kichina tu, 100 ni chache🤣😀😀.Utafika mbali kaka😃
Ukimaliza kama mia hivi nenda ubalozini pale ukawasalimie😃😃
Ni kweli mkuu kwenye Lindo hujawahi pelea02:05 Kuhusu kusinzia siwazii, ila kina Mjep, Kichwa Kichafu na Shadow7 mi ndo mkubwa wao wa kazi katika ulinzi
Hongera sana mkuu kwa upambanajiJana ubize uli niandama jobless Mimi, nili kutana na semi za mkaa
00:11 I mean no malice to nobody.Ni kweli mkuu kwenye Lindo hujawahi pelea
Yuko nasi kila nyakati🙏💪Mungu ni mwema sana
Mkuu jobless sin ramani, nipeni hata uosha maiti.Hongera sana mkuu kwa upambanaji
Hawa wanaitaji kikao cha dharura00:11 I mean no malice to nobody.
👉Ile 2022 - 2023 mpk nili izwa ka ni mchawi😆😀.
Siku hizi walinzi wenzagu wame staafu, kina Bantu Lady, Dahan, stow away, Poor Brain, Mwachiluwi, mshamba_hachekwi, National Anthem, Mzee wa kupambania, trudie
Halafu hata Kichwa Kichafu sio Mlinzi ni mviziaji was lindo tu😂.Hawa wanaitaji kikao cha dharura
Cc Kichwa Kichafu
Nipe deal nyingine Mimi joblessUosha maiti muone Mshana Jr
Unataka kusema anammendea Madame B au?Halafu hata Kichwa Kichafu sio Mlinzi ni mviziaji was lindo tu😂.