Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Hata la 1 sija Soma broJeiefuu nasikia wote wana PhD kwako imekuaje tena?
Hata la 1 sija Soma broJeiefuu nasikia wote wana PhD kwako imekuaje tena?
Hapa nina hasira usafiri ume delay na ninaingia asubuhi kaziHope sio vitani🤒.
hapo kweli ni miyeyusho, sema bro si utupe ma deal wadogo zako ma jobless.Hapa nina hasira usafiri ume delay na ninaingia asubuhi kazi
Masaa manane flight ✈️
Bora vita kuliko hii
Usha jimilikisha 😂😀
😂😂😂 Emu we tulia hapo basi mboni una nongwaUsha jimilikisha 😂😀
I wish mdogo wanguhapo kweli ni miyeyusho, sema bro si utupe ma deal wadogo zako ma jobless.
Siku Nikiwa interested kuja huko, I will check you brother.I wish mdogo wangu
Ila kwa Mungu madogo tunaweza kukutana siku moja
Kazi nyingi ila kama ukifanikiwa kuingia
Tuombe uzima
Miyeyusho is being typed 😀😂😂😂😂 Emu we tulia hapo basi mboni una nongwa
Huko kama nyumbani channel nyingi sana za kufanya tatizo wanabana sana hata uwe muadilifu kiasi ganiSiku Nikiwa interested kuja huko, I will check you brother.
Ila huwa na feel hapa ea pata nitoa, sema tuzidi kuomba kheri.
👉Maana Kuna info nyingi za kujuzana.