Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,072
- 33,777
The mighty atlast hajaangalia hii movieKaniambia haijui
The mighty atlast hajaangalia hii movieKaniambia haijui
🤣🤣🤣 kheee!! Na shetani kumbe anakuwaga bored!!!Movie kabla sijaangalia huwa nasoma maudhui yake..
Shetani alikaa zake kuzimu akaona yupo bored akaamua aje dunia... Alipatwa na msala akasolve akawa anasaidiana na police kama consultant....
Sema icheki nimekumbuka kuna mdau alikuwa anafuatilia yule hajawai fuatilia movie kama ni mbovu
Ngoja nikitulia niishushe nikupe support ya kuangalia
Kaka nami ni binadamu sio robot😆😆The mighty atlast hajaangalia hii movie
Kaka nina list ya series za kichina za Mwaka Jana Kama 10.
Siku iangalia coz reviews zake za kiwaki Sana😆😀.Kaniambia haijui
Selikavu hi comment nime cheka Sana😀😆The mighty atlast hajaangalia hii movie
Ndo story yake ilivyo🤣🤣🤣 kheee!! Na shetani kumbe anakuwaga bored!!!
The mighty umekamatikaKaka nami ni binadamu sio robot😆😆
Kaka leo legend nakiri, hali sio nzuri😆😀.The mighty umekamatika
Hapo Una tamani uwe na tv 5, uangalie series zote😀😆.🤣🤣🤣🤣Kaka mzigo mkubwa sana huo
Pambana unamalize
Sasa hivi nina warrior baek dong so, Huku Kuna lethal weapon, the brave, designated survivor.Kaka Speed yako ya kuaangalia movie unaweza jua AI🤣
We pambana me nipo na Japan Anime ya miaka ya 2000 huko Ippo MakonouchiSasa hivi nina warrior baek dong so, Huku Kuna lethal weapon, the brave, designated survivor.
👉Aisee au basi tu😀😆
Vipi Kaka uli fanikisha kujaza series??We pambana me nipo na Japan Anime ya miaka ya 2000 huko Ippo Makonouchi
Kuna mwamba alikuja na external yake ina japan anime 3000😃Vipi Kaka uli fanikisha kujaza series??
Alaaniwe😀🤣, dah hapa the mighty nime shituka🙄.Kuna mwamba alikuja na external yake ina japan anime 3000😃
Jamaa anaangalia Japan animeAlaaniwe😀🤣, dah hapa the mighty nime shituka🙄.
Wachina kwangu ni favorite Sana, kwa movie za porini na mjini.Jamaa anaangalia Japan anime
Yan kama wewe na wachina kaka🤣
Utafika mbali kaka😃Wachina kwangu ni favorite Sana, kwa movie za porini na mjini.
Kuna namna naona nita fika mbali 🤣😀