Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Hivyo hivyo mkuu, Juzi Kuna madogo wame shikishwa tenda ya kusambaza sukari.Huko kama nyumbani channel nyingi sana za kufanya tatizo wanabana sana hata uwe muadilifu kiasi gani
Lakini ndio third world zilivyo tutapambana tu
Usijali bro, anytime
Aisee ni tonge la kooni kabisa, maana wata tobolea oale.
Acha tuzidi kukomaa