JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tuombe wapendwa hata kwa sekunde:
ASANTE MTAKATIFU ULIYEKETI MAHALI PA JUU PALIPOINUKA,ASANTE JEHOVA MUUMBA MBINGU NA NCHI.....Tunakushukuru Mungu wetu kwa kila kitu umefanya na unaendelea kufanya kwa ajili yetu....tu nashukuru Bwana maana waturehemu na kutusamehe makosa yetu....endelea kutupigania maana peke yetu hatuwezi pasipo msaada wako Mungu wetu!
Asante kwa kutuamsha salama na kutulinda na Mabaya usiku wote.Tunaomba ukabariki kila kazi ya mja wako siku ya leo.KATIKA JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU TUNAOMBA NA KUKUSHUKURU.AMINA
 
Amen
 
Mkubwa hivi niki danganya Napata kipi??, Yaani niji ite don.
Akati chini ni ombaomba!?

unajua Hawa wengine Wana kurupuka tu, so ana hisi alivyo ndo kila mtu Yuko hivyo.
SI wengine tunavyo ishi, ajuae ni mola tu
Hahahahaha..mimi kuamini mtu humu ngumu sana...ila pia km nilivyokuambia niliwahi dhamini vijana wenzangu walichonifanya Mungu anajua
 
Hahahahaha..mimi kuamini mtu humu ngumu sana...ila pia km nilivyokuambia niliwahi dhamini vijana wenzangu walichonifanya Mungu anajua
Mkubwa legeza Moyo kijana nione mwanga.
We hata Kama deal la kuosha maiti, mi napita nalo.

Sikatai vijana muda mwingine tuna upuuzi, ila nija ribu mkubwa🙏
 
Hapo sawa ...ila najua humu JF karibu wote wakurugenzi..maboss na matajiri ndio maana sina hofu na mtu ..na nishangaaga mtu akinipiga mzinga 😄😄
Ni vizuri ukasimamia msimamo wako mkuu....mtu hawezi kukuua usipompa.
 
Dah Leo ume yumba kweli, una wezaje kuja kunsemea mtu bhana???.
Una pata wapi ujasiri huo??

Sema siku hizi nime pevuka kiakili, ila next time usicho kifahamu kheri utulie
😶 huna haja ya kuonekana umepuvuka mkuu,we jiachie..,.mi ni mtaalamu wa kupokea negative na positive tena negative from you nimepokea nyingi mno....sema nini....KUVUMILIANA
 
Back
Top Bottom