Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Kuna kauli Ina sema, kwa kila aliye pita pango la Simba, je na wengine ni lazima wapite huko ikiwa Hakuna ulazima!!Kauli ipi ? Mie nahofia kumpa mtu line anaeza kukuambia mie sio pigo zangu nikawa nimepoteza muda tu
Nijaribu mkuu, kijana Sina makuu Tresor Mandala