JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

😶 huna haja ya kuonekana umepuvuka mkuu,we jiachie..,.mi ni mtaalamu wa kupokea negative na positive tena negative from you nimepokea nyingi mno....sema nini....KUVUMILIANA
Yaani Ume Nishangaza Sana, na it seems huenda uli Panga labda tuvurugane!??.
Maana mkwa ujumbe wako hapo juu, ina onesha Kuna tatizo!!

Sasa una anzaje kuni semea Jambo, akati huli fahamu kiundani??
Au ndo being obsessed na taaluma ya kusemea watu??
 
😶
 
Don michael 01:08
FB_IMG_17085286256063084.jpg
 
Back
Top Bottom