Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,995
- 189,579
0135Hrs
Sign out [emoji2772][emoji112][emoji2772]
Sign out [emoji2772][emoji112][emoji2772]
Ahsante mkuu.dada wa kazi yupo,ila nimeona nilale naye tu mimi.Pole Sana Mkuu Atazoea Ila Mtafutie Mama Wa Kumsaidia Kazi Kidogo Hapo Nyumbani
Yeah,nipo kwa gari sasa to job.Umeamkaje jomba?05:26 Muda wa kuamka kwenda kupambania Malengo.
To yeye, Mjep, raraa reree, DR SANTOS, Tresor Mandala, MastaKiraka Ume kimbia lindo??
Hahahahaha..sio kila muda ni wa kupambania malengo tu mkuu.05:26 Muda wa kuamka kwenda kupambania Malengo.
To yeye, Mjep, raraa reree, DR SANTOS, Tresor Mandala, MastaKiraka Ume kimbia lindo??
Hahahahaha05;27 Jobless vibe
Niko poa rafikiYeah,nipo kwa gari sasa to job.Umeamkaje jomba?
Nishike mkono mkubwa, nami nitokeHahahahaha
Mkuu mie pia mpambanaji ...sijawahi kushikwa mkono..napenya mwenyewe kwa mbinu zangu...we pambana tu mkuuNishike mkono mkubwa, nami nitoke
Hahaha, hii kauli nilikuwa naimini.Mkuu mie pia mpambanaji ...sijawahi kushikwa mkono..napenya mwenyewe kwa mbinu zangu...we pambana tu mkuu
Kauli ipi ? Mie nahofia kumpa mtu line anaeza kukuambia mie sio pigo zangu nikawa nimepoteza muda tuHahaha, hii kauli nilikuwa naimini.
👉Mpaka siku yaliyo nikuta, baadae mkuu nisije fukuzwa kwenye tonge la ugali
Barikiwa sana kijanaNiko poa rafiki