Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,339
- 95,715
Safi sana kazi njemaNaamka nijiandae kwenda kazini
Safi sana kazi njemaNaamka nijiandae kwenda kazini
Barikiwa..na kwako piaSafi sana kazi njema
01:02
Sijui nifunge nae Kwaresma?
Bwana eeeeh?"Penzi Limetaradadi" ~ Mboso Khan
Kweli Huu Mwezi Wa Makopa Kopa.
Wenyewe Walisema Hakuna Mkate Mgumu Mbele Ya Chai.Bwana eeeeh?
Ndio hivyo tena, at last nimepatikana.
Hus umeme umenifanya nikeshe mpaka mida ya saa hii 01;16 kisa joto...... jamani hizi shida mpaka lini tumechoka
01:19 siku ya 5 bila ya kulala usingizi
Hizo ni theory tu, Nisha kaa zaidi wiki 2 non stopWanasema 7 Days Bila Kulala Inabidi Upumzike Mazima Watu Waimbe Parapanda
Dah leo wife kaanza night shift,baada ya dogo kufikisha miezi 9. Yaan dogo analia mnoo,mpaka sasa hajalala.