Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,924
- 61,700
Inawezekana hofu yake ni kuwa, atamlisha nini huyo kiumbeYaani Nipo nae hapa, namuangalia nashindwa kummaliza aisee
Inawezekana hofu yake ni kuwa, atamlisha nini huyo kiumbeYaani Nipo nae hapa, namuangalia nashindwa kummaliza aisee
Hapana mkuuUtakuwa ni mmoja wa wanaonufaika na sadaka zetu; hii mistari unaitolea wapi?
Sina cha kumshauri, ikiwa yeye anataka kutoaBado umri wa malezi ya mtoto hauruhusu
Ndo mambo ninayopendeleaUlijuaje... niko Titanic hapa na Saki Star band
🙏🙏🙏Aisee!
Mungu anafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya! Kuwa na Imani tu mambo yatakuwa sawa.
Mshauri azae tu, wengine tunajuta kuchelewa kuwa na watotoAnamaliza chuo mwaka huu
KabisaaaaaNdo mambo ninayopendelea
Ananiambia anaogopa kuwa single momInawezekana hofu yake ni kuwa, atamlisha nini huyo kiumbe
Ukiwa na 45+ hawana hayo mambo zaidi ya kufurahia ligi tuWanaume wengine Vimeo tu.
Atakuuliza style zote hizo nimejifunzia wapi...
Mkuu huu ndo muda wa kutafuta sasaNashindwa hata la kusema....nahitaji sana mtoto
Nani kasema?Bado umri wa malezi ya mtoto hauruhusu
Nimeongea nae sana mkuuMshauri azae tu, wengine tunajuta kuchelewa kuwa na watoto
Nina mtoto kama wewe mkuu....Mkuu huu ndo muda wa kutafuta sasa
Kuna mmoja alitoa zangu saba, ni mke wa mtu; nilikuwa nikimsapoti kwa mahitaji madogo chuo.Hawaogopi kabisa aisee, tena hii ni ya nne😷
Bila shaka ni jambo la kesho pale kirumba.... Lolote liwakuteUsiku wa deni haukawii kucha duuh!
Inabidi umpe uhakika wa kula kwanza, sio anakuja kuwa na tumbo kama greda alafu kula yake inakuwa ya shida.Nimeongea nae sana mkuu
Amefanikiwa kupata mtoto ( watoto )?Kuna mmoja alitoa zangu saba, ni mke wa mtu; nilikuwa nikimsapoti kwa mahitaji madogo chuo.
Miaka 15? Ulikua bado mdogoNani kasema?
Mtoto wangu wa kwanza nimezaa na 15 yrs....
Malezi ni popote, japo kila mmoja ana uelewa wake....
Tunaishi kwa utulivu kwa sababu kuna katazo la kiimani, na la kisheria (mamlaka ya kidunia); bila kuwepo na dini, kuwatawala watu kungekuwa kugumu.Jamaniiiii.....
Kwhiyo inatakikana tuishi kwa hofu au kwa amani?
Maana maandiko yanakinzana na maisha yetu tunayoishi