Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Yes!!Miaka 15? Ulikua bado mdogo
Ila sikupata changamoto yoyote katika malezi maana nilizaa na mwanaume aliye na utayari wa mtoto na utayari wa kuitwa baba
Yes!!Miaka 15? Ulikua bado mdogo
Mimi ninao wakubwa ila mama yao ndo changamoto sanaNina mtoto kama wewe mkuu....
Hapo sawa ulibahatikaYes!!
Ila sikupata changamoto yoyote katika malezi maana nilizaa na mwanaume aliye na utayari wa mtoto na utayari wa kuitwa baba
Sana....lazima tufuate misingi ya dini na ya kiduniaTunaishi kwa utulivu kwa sababu kuna katazo la kiimani, na la kisheria (mamlaka ya kidunia); bila kuwepo na dini, kuwatawala watu kungekuwa kugumu.
Kabisa....Hapo sawa ulibahatika
Pole sana.Mimi ninao wakubwa ila mama yao ndo changamoto sana
Mwambie waoaji siku hizi hakuna, wanaume halisi tumebaki wachache na tayari tulishawahiwa, kwa hiyo kwa sasa tunashea tu pale panapowezekana.Ananiambia anaogopa kuwa single mom
Ahsante sana mkuuPole sana.
Changamoto katika malezi ya watoto na maisha kwa ujumla yapo, japo kika mzazi ana masimulizi yake...
Anao wanne, wa kwanza yuko kidato cha sita; za kwangu alikuwa anazikataa zisije kumuharibia familiaAmefanikiwa kupata mtoto ( watoto )?
Njia ilikuwa ndogo piaMiaka 15? Ulikua bado mdogo
Zimeenda wapi?nguvu sinaaaaa
daaaah!!! daaah daaaa daaaah
Mkuu si uni chukie Mimi, niwe mwanao😀🙆🙆🙆🙆🙆
Serious.... jamani mbona anajisababishia matatizo?
Azae tu.
Angekuwa karibu ningemwambia azae, halafu anipe mtoto.
Nahitaji sana mtoto....😔😔😔😔
ameniweza shemeji yenu wakuuZimeenda wapi?
Usha Anza taarabu, hamna mla shada wa hivyo 🤒mie salama na mzima sina hata usemi aaah daaaah
...wewe umeshaota meno.Mkuu si uni chukie Mimi, niwe mwanao😀
😂😂 sielewii kaka niko high ile mbayaUsha Anza taarabu, hamna mla shada wa hivyo 🤒
Amemaliza wino wote 😀 😀 ; shika rungu uingie lindoameniweza shemeji yenu wakuu