JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

ha ha ha sasa kutokupenda usingizi unasaidiaje mtu kuwa tajiri?
Soma hapa pia

Mit 6:9-11 SUV
Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaondoka lini katika usingizi wako? Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo umaskini wako huja kama mnyang’anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
 
Imani imeletwa ili kutujengea hofu, na tuishi kwa utulivu katika maisha ya hapa duniani; inaaminika zamani kabla ya kuwepo dini duniani, kulikuwa na ukatili mkubwa wa kimauaji
Jamaniiiii.....
Kwhiyo inatakikana tuishi kwa hofu au kwa amani?
Maana maandiko yanakinzana na maisha yetu tunayoishi
 
Soma hapa pia

Mit 6:9-11 SUV
Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaondoka lini katika usingizi wako? Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo umaskini wako huja kama mnyang’anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Utakuwa ni mmoja wa wanaonufaika na sadaka zetu; hii mistari unaitolea wapi?
 
Back
Top Bottom