👏👏👏👏👏👏Na Mimi pia nikasoma hapa
Mathayo 25:13 BHN
Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.
Inabidi hayo macho uyawekee gundi ili yasifumbe kabisa, kwa sababu hujui ni muda gani mwana wa adamu atapitaNa Mimi pia nikasoma hapa
Mathayo 25:13 BHN
Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.
Akhu!!!Na uzee wangu huu nitakupeleka nyumbani madame
Kuna mada nilisoma kule kwenye dini.Inabidi hayo macho uyawekee gundi ili yasifumbe kabisa, kwa sababu hujui ni muda gani mwana wa adamu atapita
Kwa nini uwe singo, wakati rasilimali zote alizokupa muumba unazo? 😀 😀 na wanasema usipokitumia kitapotea, Darwin theory.Tulio single hapa hatuhusiki na hayo mapori...🤭
Wakipita huku...sie itabidi tukae pembeniBahati mbaya zaidi wafia dini hawapiti huku wangemsaidia
Ukipata nafasi Soma na hapaInabidi hayo macho uyawekee gundi ili yasifumbe kabisa, kwa sababu hujui ni muda gani mwana wa adamu atapita
Katika hii dunia, watu wazamani walishaweka formula zao, na tunaendelea kuziishi.....mada pana hii....
Shadow7 kafafanua
Kuna mdada anataka atoe ujauzito wa nne sasa halafu ana miaka 22 tu😕. Hii dunia!Kuna mada nilisoma kule kwenye dini.
Mtoa mada anauliza, Yesu atakuja live au atakuja na kukaa sehemu ajifiche ili achuje watu wake wema...🤪
😩😩😩Kwa nini uwe singo, wakati rasilimali zote alizokupa muumba unazo? 😀 😀 na wanasema usipokitumia kitapotea, Darwin theory.
Kabisa mkuuWakipita huku...sie itabidi tukae pembeni
Mbaya zaidi hatujui atarudi lini, na atakuwa na umri wa miaka mingapi?Kuna mada nilisoma kule kwenye dini.
Mtoa mada anauliza, Yesu atakuja live au atakuja na kukaa sehemu ajifiche ili achuje watu wake wema...🤪
ExactlyKatika hii dunia, watu wazamani walishaweka formula zao, na tunaendelea kuziishi.
Kinondoni tena? Kuna ile ngoma ya Dulla Makabila unatoa hutoi. Unaijua mkuu?Akhu!!!
Nikilewa nipeleke kwetu Kinondoni
ha ha ha sasa kutokupenda usingizi unasaidiaje mtu kuwa tajiri?Ukipata nafasi Soma na hapa
Mit 20:13 SUV
Usipende usingizi usije ukawa maskini
🙆🙆🙆🙆🙆Kuna mdada anataka atoe ujauzito wa nne sasa halafu ana miaka 22 tu😕. Hii dunia!
Nikiwaza hapo tu...nakosa hata nguvu za kunywa K-vantMbaya zaidi hatujui atarudi lini, na atakuwa na umri wa miaka mingapi?