Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Umenipita siku 3 kujiunga Jf...👏👏👏00:09
Ova
Umenipita siku 3 kujiunga Jf...👏👏👏00:09
Ova
Ukirudi dar tutapata mbili tatuMie mtoto wa Dar mbona
Nimekuja kufata maokoto Dodoma....🤭
Halafu nikilewa?Ukirudi dar tutapata mbili tatu
Swali limekaa kimtego hiliHalafu nikilewa?
Jibu mbona liko wazi.Swali limekaa kimtego hili
Mpya hakuna.Wazee wa lindo, kuna mpya gani huku
Mkuu ukilewa nakufikisha JF HQJibu mbona liko wazi.
Nambie ili nijue najivikaje mabomu....💣💣💣
Hakuna mapya mkuu sisi ndo kumekuchaWazee wa lindo, kuna mpya gani huku
Kwa nini usingizi ukate mida ya hatari?Mpya hakuna.
Usingizi ndio umekata muda huu
Ole wao, wageuzao usiku kuwa mchana....kuna sehemu nilisoma hiki kipengeleHakuna mapya mkuu sisi ndo kumekucha
🤭🤭🤭Mkuu ukilewa nakufikisha JF HQ
Si unajua mapopo.Kwa nini usingizi ukate mida ya hatari?
....ila kumbuka hicho kipengele katika biblia kimeandikwa na binadamu kama sisi....💅💅Ole wao, wageuzao usiku kuwa mchana....kuna sehemu nilisoma hiki kipengele
Hii ni mida ya kushiriki katika uumbaji, mapori yamekuwa mengi na yanahitaji watuSi unajua mapopo.
Utalala mchana weeeeee
Likiingia tu giza, mwili unagoma kulala
Unamaanisha hakikutoka mbinguni? 😀😀....ila kumbuka hicho kipengele katika biblia kimeandikwa na binadamu kama sisi....💅💅
Na Mimi pia nikasoma hapaOle wao, wageuzao usiku kuwa mchana....kuna sehemu nilisoma hiki kipengele
Tulio single hapa hatuhusiki na hayo mapori...🤭Hii ni mida ya kushiriki katika uumbaji, mapori yamekuwa mengi na yanahitaji watu
Na uzee wangu huu nitakupeleka nyumbani madame🤭🤭🤭
Sasa kwani wao ndio wameninywesha?
Mbona kama unakimbia majukumu yako arifu?