iPI hiyo😄, maziwa mgando ehh??Ninyi Vijana mnaokesha humu kwani mna tatizo la Kukosa Usingizi kama sisi Wazee wenu?😜
Tumieni ile dawa ya asili muwe mnapata Usingizi 🤗
00:55
02:51 greatTumebaki Wazee tu 😜
01:27
Hauangalii show ya davido 02 arena!?02:24
Ashaniambia ananipenda, nilale sasa.
Umeambiwa piga viwili kila siku kabla ya kulala usingiz utakufata wenyewe.iPI hiyo😄, maziwa mgando ehh??
😂😂🤣🤣🤣🤣Yaan mtu unamtumia na nauli mnakaa baaa bia za kitosha unatangulia room anatoroka
Ndoa ni kitu rahisi hivyo kumbe?03:28
Mdada aliyemacho sasa hivi tufunge ndoa
Kwamba ni ngumu kama Chadema kushinda uraisiNdoa ni kitu rahisi hivyo kumbe?