Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,334
Dawa ya kuaminika ni tendo la Ndoa.Ipi hiyo nami nitumie
Ukienda round zako 2 ama 3 lazima ulale Usingizi mzito Kila Siku
Dawa ya kuaminika ni tendo la Ndoa.Ipi hiyo nami nitumie
Eeh panga halikumbatiwi bana, me anachofanyaga yule bint ni kunipokonya simu na kunipigisha story hapo nitapitiwa tu maana sipo interested na story zake sizielewagi kabisa naitikia itikia mwisho nasinzia.Kama panga😀😀 haya bana mkuu sisi mapanga ngoja tuendelee😀
Babu sio hiyoooo, haki!Naona umeongea kitaalamu sana ....kwamba yeye ndiyo amebeba Usingizi wako
Ile dawa ya asili niliyoisema pale juu ndiyo hiyo sasa 😜🏃🏃🏃🏃
Sasa round 3 kila siku mzee wangu si ntadhoofika mwili 🙄Dawa ya kuaminika ni tendo la Ndoa.
Ukienda round zako 2 ama 3 lazima ulale Usingizi mzito Kila Siku
Wanatuachaniza wazee pekee yetuTumebaki Wazee tu 😜
01:27
Hahaha............sitaki kuamini Mjukuu, yaani mrudi mmeshikana mikono bila kushikana viuno?😜Babu sio hiyoooo, haki!
Namsubiria hapa sio nyumbani, niombee ufike huo wakati wa kumsubiri nyumbani nikuletee wajukuu mapacha.
Kwa kweliWanatuachaniza wazee pekee yetu
Hili tatizo naona linaninyemelea kwa kasi sana mkuuNilipokuwa Kijana sikuwa na tatizo la Kukosa Usingizi.
Pole sana MkuuHili tatizo naona linaninyemelea kwa kasi sana mkuu
Ahsante sana mkuuPole sana Mkuu
Inaonekana hili tatizo linawakumba Vijana wengi sana.
Nina rafiki yangu hajafika 30 lakini hawezi Kulala bila kunywa dawa za Usingizi
Tutawaleta Babu.Hahaha............sitaki kuamini Mjukuu, yaani mrudi mmeshikana mikono bila kushikana viuno?😜
Babu yako nasubiria Wajukuu tu 🤗
Hahaha............Kuna Kitabu cha Dokta Ndodi kilikuwa kimeandikwa Turudi EdeniSasa round 3 kila siku mzee wangu si ntadhoofika mwili 🙄
Ni kweli, sometimes majukumu na mawazo yanachangia kukosa UsingiziAhsante sana mkuu
Kwangu naona umri na majukumu vinachangia
Wishing you best of luck 🙏🙏Tutawaleta Babu.
Sawa Mkuu ntakitafuta.Hahaha............Kuna Kitabu cha Dokta Ndodi kilikuwa kimeandikwa Turudi Edeni
Kitafute ukisome
Ila hii dunia ya leo bana, yani mzee wa +60 yupo online mpaka muda huu thats naonaga wengi wanafanya kazi za ulinzi na nguvu hawana, Mzee lala bana😅Wishing you best of luck 🙏🙏
Mkuu unanifukuza hutaki nifurahie kuchitchat na Wajukuu humu 😜Ila hii dunia ya leo bana, yani mzee wa +60 yupo online mpaka muda huu thats naonaga wengi wanafanya kazi za ulinzi na nguvu hawana, Mzee lala bana😅
Kama unajiweza tukimbize tu me nakuonea huruma.Mkuu unanifukuza hutaki nifurahie kuchitchat na Wajukuu humu 😜
Ngoja nipumzike sasa 2:16