Pekejeng
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 830
- 2,238
Acha kutusumbua wengine ndo mida yetu ya kulala hiiVijana amkeni muda wa kupambana ni sasa
Acha kutusumbua wengine ndo mida yetu ya kulala hiiVijana amkeni muda wa kupambana ni sasa
Nimekuja mremboMjep njoo nikuambie kitu!
Hongereni wadauMimi nikisema nampenda sana, simuachi unasema umeshanizoea.
Huyu hatuachani mdogo wangu, tuko pamoja tokea una miaka kenda!
Sija oa mkuuUmeambiwa piga viwili kila siku kabla ya kulala usingiz utakufata wenyewe.
Umeamkaje?Nimekuja mrembo
😒Kwamba ni ngumu kama Chadema kushinda uraisi
Naendelea poa cute,kukumiss tu mpenzNipo mama angu.
Unaendeleaje?
Mic u too babe.Naendelea poa cute,kukumiss tu mpenz
Mvua daily 😔Mic u too babe.
Nipe mihabari ya huko kwenu.
Ntakujibu usiku wa Manane Mkuu😅Sija oa mkuu
Poleni sana, huku sio daily ila ikinyesha lazima kutokee tukio sehem zenye maji mengiMvua daily 😔
Aisee,poleni jamaniPoleni sana, huku sio daily ila ikinyesha lazima kutokee tukio sehem zenye maji mengi
Asante loveAisee,poleni jamani
Nimeamka salama kipenziUmeamkaje?
Hasa huku KiloleliPoleni sana, huku sio daily ila ikinyesha lazima kutokee tukio sehem zenye maji mengi
Kilimahewa, mabatini, kona ya bwiru, na sehem zingineHasa huku Kiloleli
Heshima yako boss wanguKilimahewa, mabatini, kona ya bwiru, na sehem zingine
Unanidai nin kaka angu tena?Heshima yako boss wangu
Alafu nakudai ujue