JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ndiyo, hivi na nyie huwa mnapata hii shida ya kukosa usingiz ukilala peke yako kama panga?
Nilipokuwa Kijana sikuwa na tatizo la Kukosa Usingizi.

Ukifika kuanzia miaka 60 Usingizi unaanza kukosekana

Unaweza kushinda Macho hadi saa 7 ama 9 usiku ndiyo Usingizi unakuja.

Kama ni Mvutaji wa Sigara basi tatizo ndiyo linakuwa kubwa zaidi
 
Mzee unamaanisha hapo ulipo ni uzee ndo unakunyima usingiz?
Mimi ni kijana mdogo mali safi wanaita ila kulala kwangu mpaka nipigiwe gitaa nipitiwe na story angalau kuanzia saa 6 hivi na mara nyingi nikiwa peke yangu basi kulala ni alfajir,
Hii inanifanya niwe mchovu sana ila bado silali mchana.
 
Back
Top Bottom