Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,300
- 96,374
Hiyo ni report time ya mlinzi🤒Mbona mnaandika masaa tu?
Hiyo ni report time ya mlinzi🤒Mbona mnaandika masaa tu?
Okay..maana ndio kwa mara ya kwanza naingia humuHiyo ni report time ya mlinzi🤒
MimiNani ataongoza swala
Anza sasaMimi
Kabisa 😂 na siku nazo zinaenda sanaSiku hizi kunakucha mapema,, unaingia kulala hata hujamaliza kuota vizuri. Unaanza kusikia adhana nje, means alfajiri imefika.
05:33
MapendoNani ataongoza swala
Haha au watu tushaichoka 2024 ndio maana inaamua zake kukimbiaKabisa 😂 na siku nazo zinaenda sana
Kabisa😁🤣😂Haha au watu tushaichoka 2024 ndio maana inaamua zake kukimbia
Daima,Mapendo
Hahahaha.......pole Mkuu, hayo mambo ni mengi sana hukoMkuu Kama uli kuwepo, nime pita sehemu kilicho nisaidia ni kufunga mdomo wangu.(wamme nipiga kikumbo)
👉Wame niangalia mnoo, nili tamani kusema kitu- ila Nika chill tu.
👉Wana sura chafu, kutokeza upande wa pili Jamaa ana vuja damu kwenye gari (maeneo ya store fulani hivi).
Nime ishia kuita msaada na kutokomea zangu, masuala ya ushahidi nawa achia viherehere.
👉Wasije kuwa na team yao ya kushughulika na macho kuona
Shukrani mkuu, nili hofia macho ya ziada.Hahahaha.......pole Mkuu, hayo mambo ni mengi sana huko
Yanafanya sisi Wazee tuogope hata kuja kusalimia huko Kwa kuogopa kuuwa.
Ni jamii ya watu wasiotaka kubadirika pamoja na Elimu kubwa inayoendelea kutolewa na Serikali pamoja na Asasi za Kiraia
Na Bora ulivyokimbia eneo la tukio kukwepa ushahidi...wanasema Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake
Nitakuwa nachungulia..Mmetoroka, nawe ulikuwepo mwaka ule.