Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
01:59
Au ndo upo hapo kitambaa Cha blue 😄🤣Muda wa kufanya Ibada Kwa sisi Wazee ili kujiweka karibu na Mola wako
02:02
Mmetoroka, nawe ulikuwepo mwaka ule.Sasa wengi hawako lindoni..
Pale sina hamu ya kwenda Tena, maana unakumbuka walivyonikwapua wale mabinti mwaka Jana?Au ndo upo hapo kitambaa Cha blue 😄🤣
Safi mkuu, mi natafuta vitabu vya Alex rider by Anthony Horowitz
Endelea kuni juza, niko jela mkuu🤒Saa 12:41
Stars 0:0Congo DR